Aliyekuwa
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil 
ambaye sasa ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, akimkabidhi Katibu 
Mkuu mpya, Meja Jenerali Projest Rwegasira, moja ya Nyaraka za Ofisi za 
Wizara hiyo kama ishara ya kumkabidhi ofisi.
Watumishi
 wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika mkutano wa kumuaga 
aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, ambaye sasa ni 
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, na kuwakaribisha Katibu Mkuu mpya,
 Meja Jenerali Projest Rwegasira na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Hassan 
Simba Yahaya.  Hafla hii ilifanyika katika Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Aliyekuwa
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil 
ambaye sasa ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, akiwaaga watumishi 
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani) katika mkutano 
uliofanyika katika Makao Makuu ya Wizara hiyo. Katikati ni Katibu Mkuu 
mpya wa Wzara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira na kulia ni Naibu 
Katibu Mkuu, Balozi Hassan Simba Yahaya.
 Aliyekuwa
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil 
ambaye sasa ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, akimtambulisha kwa 
Watumishi wa Wizara hiyo, (hawapo pichani), Katibu Mkuu wa Wizara ya 
Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira katika mkutano 
uliofanyika Makao Makuu ya Wizara, jijini Dar es Salaam.
 Naibu
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba 
Yahaya, akijitambulish kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya 
Nchi, katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Wizara hiyo.  Katikati
 ni Katibu Mkuu wa Wizara, Meja Jenerali Projest Rwegasira na kushoto ni
 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, ambaye sasa ni
 Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais.

0 comments:
Post a Comment