Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January 
Makamba (Kushoto) akifurahia jambo na Balozi wa Norway nchini Bi. 
Hanne-Marie Kaarstad. Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. 
Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya 
kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika nyanja za 
Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira. 
 Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January 
Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Finland nchini Bw. Pekke Hukka. 
Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake 
Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya kudumisha ushirikiano baina
 ya Tanzania na Finland katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa 
Mazingira. 
Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January 
Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Norway nchini Bi. Hanne-Marie 
Kaarstad. Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo 
Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya kudumisha 
ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika nyanja za Hifadhi na 
Usimamizi wa Mazingira. 
 
 
 
 
 
 



 
 
0 comments:
Post a Comment