Huenda umekutana na stori mitandaoni au 
picha kuhusu tukio la ajali ya moto katika jengo la Wizara ya Mambo ya 
ndani, posta Dar es Salaam.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Advera Senzo Bulimba amesema
 ni kweli kulitokea cheche za moto katika jengo hilo katika ghorofa ya 
nne, taarifa zikatolewa kwa vikosi vya zimamoto ambao walifika na 
kugundua kuwa chanzo cha moto huo ilikuwa kwenye cyling board.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Advera Senzo Bulimba
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa nje ya Jengo la Wizara hiyo.
Baadhi ya askari wakitoka nje ya jengo hilo baada ya kutokea tukio hilo.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment