Waziri
 wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu
 akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule
 ya rufaa ya mkoa wa Geita.(Picha Zote na Catherine Sungura 
WAMJW-GEITA).
Wauguzi wa wodi ya akinamama katika hospitali teule ya mkoa wa Geita.
Tabibu
 wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy
 mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama 
aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.
Waziri
 wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwlimu 
akisalimiana na wagonjwa kwenye kituo cha afya Nyankumbu mkoani Geita 
alipotembelea kituo hicho.
Wagonjwa waliofika hospitalini hapo wakisubiri huduma kwenye hospitali hiyo.
Mganga
 mfawidhi wa hospitali teule ya mkoa wa Geita, Dkt. Adam Sijaona 
(kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, 
Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kutembelea 
hospitali hiyo.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment