Mkuu 
wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada 
,Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali
 ya kwanza ya chuo hicho. 
Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi,(MoCU) 
Makamu
 mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika (MoCU) Profesa Faustine Bee akizungumza
 wakati wa sherehe za mahafali ya kwanza ya Chuo hicho yaliyofanyika 
katika uwanja wa michezo wa Chuo hicho. 
Miongoni mwa wahitimu walikuwepo pia Mbunge wa viti maalum,Sharry Raymond pamoja na Mkuu wa wilaya ya Mwanga ,Shaibu Ndemanga. 
Baadhi ya wakufunzi katika chuo hicho. 
Katibu
 tawala mkoa wa Kilimanjaro ,Severine Kahitwa (Kulia) akiteta jambo na 
Meneja wa benki ya NMB ,tawi la Mandela mjini Moshi ,Emanuel Kashusho 
wakatiwa mahafali ya kwanza katika chuo kikuu cha Ushirika Moshi. 
Kaimu 
Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo (Utawala na Fedha) Ndayizera Manta 
(Kushoto) akiwa na Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Profesa 
Gerald Monera wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha Ushirika 
Moshi. 
Muongozaji
 wa sherehe ya mahafali hayo Cyril Komba akitoa muongozo wa shughuli 
hiyo iliyofanyika viwanja ya Chuo kikuu cha Ushirika Moshi. 
Mkuu 
wa Chuo Kikuu cha Ushirika ,Pius Msekwa akitoka katika viwanja vya 
Ushirika mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya mahafali ya kwanza ya 
chuo hicho. 
Baadhi
 ya wakufunzi wa Chuo hicho,Profesa Wakuru Magigi (kulia ) wakiwa na 
Mkuu wa Shule ya Polisi zamani Chuo cha Polisi Moshi,Matanga Mbushi . 
Mkuu 
wa wilaya ya Ilala,Raymond Mushi (kushoto) akiwa na mmmoja wa wakufunzi 
katika chuo hicho Dkt Kaleshu ,wakipozi katika picha ya pamoja na Mbunge
 wa Viti maalum CCM ,Sharry Raymond.
 
 
 
 
 
 





















 
 
0 comments:
Post a Comment