Rais wa 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na 
mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu 
jijini Dar es Salaam leo.
  Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akizungumza na 
mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es 
Salaam leo.
Rais wa 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana  na 
mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es 
Salaam leo.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment