Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia)
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es
Salaam kuhusu uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa kufanyika Tarehe
13/12/2015 katika jimbo Handeni na Arusha Mjini, (kushoto) ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bw.Clarence Nanyaro
kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva(ambaye hayupo katika picha) leo
jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waaandishi wa habari
kuhusu taratibu zitakazo tumika katika uchaguzi wa wabunge katika jimbo
la Arusha na Handeni.
0 comments:
Post a Comment