Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman 
Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi 
bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea 
uwezo waandishi wa Habari za Mahakama leo jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman 
Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)
 Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa 
zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari
 za Mahakama yaliyoandaliwa na Mahakama ya Tanzania leo jijini Dar es 
salaam.
Rais wa Baraza la Habari Tanzania 
(MCT) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa 
Habari namna wanavyoweza kuandika habari za Mahakama kwa kuzingatia 
weledi wa taaluma zao.
Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea
 uwezo waandishi wa Habari za Mahakama wakiwa katika picha ya pamoja na 
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande leo jijini Dar es salaam.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment