Mwenyekiti
Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS),
Dk.Fatma Mrisho (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi
Duniani mwaka 2015 yatakayofanyika kitaifa Desemba Mosi mkoani Singida.
Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi.
National Programe Officer wa UNAIDS, Fredrick Macha (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji Programu wa Taasisi ya Tunajali, Dk.Mussa Ndile akizungumza katika mkutano huo.
Ofisa Uhusiano wa Tacaids (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Wapiga picha wa TV wakichukua tukio hilo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wadau wa masuala ya Ukimwi wakiwa katika mkutano huo wakisubiri kujibu maswali ya wanahabari.
0 comments:
Post a Comment