Vifaa
  vyote vya kutangazia katika Studio ya Hits FM Radio vilivyoteketea kwa
 moto usiku wa juzi  katika studio hiyo mara baaada ya kuvamiwa na watu 
wasipjuulikana  huko Migombani Mjini Zanzibar
Waandishi
 wa habari wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na Mkuu wa kituo
 cha  Hits FM Mohammed Abdallah hayupo pichani mara baada ya kuunguzwa 
kituo cha  Radio hiyo.
Mwenyeki
 ti wa MCT Suleiman Seif katikati akifafanuwa  jambo  kwa waandishi wa 
habari kuhusiana  na kutiwa moto  Hits FM Radio  usiku wa juzi iliyopo 
Migombani Mjini Zanzibar.  
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment