Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Mwamini Juma Malemi
(katikati) akizungumza na wasanii pamoja na wadau wa filamu (hawapo pichani)
wakati wa kufungua
kikao cha wadau wa Filamu kujadili namna ya kuimarisha na kuboresha miundombinu
katika tasnia ya filamu leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mtendaji
Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo na kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu
Nchini Bw. Simon Mwakifwamba
Wasanii na
wadau wa filamu wakisikiliza kwa makini mada zilizokua zikiendelea wakati wa kikao cha wadau wa Filamu kujadili
namna ya kuimarisha na kuboresha miundombinu katika tasnia ya filamu leo Jijini
Dar es Salaam.
Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Mwamini Juma Malemi
(katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na wasanii na wadau wa filamu nchini
leo jijini Dar es Salaam baada ya kufungua
kikao
cha wadau wa Filamu kujadili namna ya kuimarisha na kuboresha miundombinu
katika tasnia ya filamu. Wapili kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi.
Joyce Fisoo na wapili kushoto ni Rais wa Shirikisho la Filamu Nchini Bw. Simon
Mwakifwamba.
Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Mwamini Juma Malemi
(kushoto) akiwasili kuelekea kufungua kikao cha wadau wa Filamu kujadili namna ya kuimarisha na
kuboresha miundombinu katika tasnia ya filamu leo Jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo na kulia ni Rais
wa Shirikisho la Filamu Nchini Bw. Simon Mwakifwamba.
0 comments:
Post a Comment