 Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (katikati),
 akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi wakati wa 
kufungua  mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa  Jeshi la Polisi 
uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Polisi, Kilwa road, jijini Dar es 
Salaam.

Salaam.  Washiriki
 wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi wakishiriki 
kuimba wimbo wa mshikamano kwa wafanyakazi, wakati wa ufunguzi wa 
mkutano wa Baraza hilo uliofanyika Chuo cha Polisi Kilwa Road jijini Dar
 es Salaam.
Washiriki

 es Salaam.  Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akifungua 
mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika Chuo 
cha Polisi, Kilwa Road jijini Dar es Salaam.
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akifungua 
mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika Chuo 
cha Polisi, Kilwa Road jijini Dar es Salaam.  Washiriki
 wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Polisi wakiwa katika 
mkutano Baraza hilo  uliofanyika Chuo cha Polisi, Kilwa Road jijini Dar 
es Salaam.(Picha zote na Abubakari Akida, Wizara ya Mambo ya Ndani ya 
Nchi) .

 Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto), 
 akipokelewa na Maofisa wa Jeshi la Polisi alipowasili Chuo cha Polisi 
Kilwa Road, kufungua Kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Jeshi hilo, 
jijni Dar es Salaam.

Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 
0 comments:
Post a Comment