skip to main  |
      skip to sidebar
          
RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHIWA TUNZO 
 
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akipokea Tunzo ya dhahabu iliyopewa  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar 
kutoka kwa  Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana na Watoto Bibi
 Zainab Omar Mohamed ( Gold Future Policy Award ) kwa mwaka 2015) ambayo
 imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council  katika Mji 
wa  Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto ya 
Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20 
kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya makabidhiano hayo 
ilifanyika leo Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

ilifanyika leo Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]  Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akiiangalia Tunzo ya dhahabu iliyopewa  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar 
baada ya kukabidhiwa na  Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana 
na Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed ( Gold Future Policy Award ) kwa 
mwaka 2015) ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future 
Council  katika Mji wa  Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya 
Sheria ya Watoto ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi 
nyingine zaidi ya 20 kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya 
makabidhiano hayo ilifanyika leo Mjini Unguja.

0 comments:
Post a Comment