Rais John Magufuli akitia saini kitabu cha wageni wakati
alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake
jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nao kwa takribani
saa moja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Rais
John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26,
2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. Rais
John Magufuli akiagana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26,
2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja.
0 comments:
Post a Comment