Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametua jana November 25 2015 ndani ya Nairobi Kenya… huu ni ugeni mwingine mkubwa na wa kimataifa kuwasili Kenya ndani ya mwaka 2015, kama unakumbuka Rais Obama alikuwa Nairobi pia mwezi July 2015.
Hii ilikuwa jana wakati Papa akisubiriwa kuwasili Nairobi.
Siku ya pili ndio leo ambapo Papa Francis amefanya ibada katika viwanja vya Chuo Kikuu Nairobi Kenya.. hapa ninazo baadhi ya picha kuanzia mitaa ya Nairobi mpaka viwanjani kwenye ibada maalum aliyoifanya.
.
0 comments:
Post a Comment