Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj
Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran
nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, wakati alipomtembelea Nyumbani
kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam Disemba 14, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj
Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha kwa Balozi wa Iran nchini
Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa
Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es
salaam Disemba 14, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj
Ali Hassan Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Iran nchini
Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari pamoja na Msaidizi wake mpya, Bw. Ali
Bagheni. Balozi huyo alifika nyumbani kwa Mzee Mwinyi kwa kumtambulisha
Msaidizi wake huyo Mpya, leo Disemba 14, 2015.
0 comments:
Post a Comment