Waziri
 wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi akizungumza na 
wakuu Idara katika wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi 
alipokutana nao leo alipokaribishwa kwa mara ya kwanza katika wizara 
 hiyo, tangu achaguliwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt 
John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa wizara, na kuwaagiza wakuu wa idara 
katika wizara hiyo kutoa taaarifa za idara zao ifikapo jumatatu ya wiki 
ijayo.
Waziri
 wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi akipokea ripoti
 ya wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Katibu mkuu wa 
wizara yaWizara wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Kidata.
 Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
 Angelina Mabula. 
Naibu
 Waziri wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula 
akipokea ripoti ya wizara ya Ardhi, nyumba na Maendeleo makazi leo 
walipokutana na wakuu wa idara mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. 
katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi.
Naibu
 Waziri wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula 
akizungumza na wakuu wa Idara wa wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam, 
akizungumzia kuhusiana na wawekezaji ambao watakua hawajaendeleza ardhi 
ambayo walichukua kwa aajili ya uwekezaji na ardhi hiyo kurudishwa kwa 
wananchi. Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara ya Ardhi Nymba na 
Maendeleo ya Makazi, Alphayo Midata, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi  na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Ardhi, Nymba na Maendeleo ya Makazi, Selassie Mayunga.
Baadhi
 ya waandishi wa habari pamoja na wakuu wa Idara za wizara ya Ardhi 
Nyumba na maendeleo ya makazi leo jijini Dar es Salaam.
 
 
 
 
 
 





 
 
0 comments:
Post a Comment