Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Mhe. Jorge Luis
Lopez, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Desemba 14, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Balozi
wa Cuba nchini Tanzania, Mhe. Jorge Luis Lopez, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Mhe Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Desemba 14, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Yasemin
Eralp, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Desemba 14, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Balozi
wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Yasemin Eralp, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Mhe Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Desemba 14, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira, Mhe. Januari Makamba, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Desemba 14, 2015 kwa ajili ya kujitambulisha
baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akiwa katika mazungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Januari Makamba, wakati alipofika
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 14, 2015 kwa ajili
ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment