Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama 
 (wapili kushoto), na Naibu Mawaziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah
 Possi  (wapili kulia)  na Anthony Mavunde (kulia) baada ya kuwakabidhi 
taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakati waliporipoti Ofisini kwa Waziri 
Mkuu kuanza kazi Desemba 14, 2015. 
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa 
akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama 
(katikati), Naibu Mawaziri Dkt. Abdallah Possi (kulia) na Anthony 
Mavunde (wapili kulia)) baada ya mawaziri hao kuripoti  Ofisini kwake 
kuanza kazi Desemba 14, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Dkt, Florence Turuka, Wanne kushoto ni katibu Mkuu Kazi na Ajira, 
Eric Shitindi na watatu kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Regina Kikula.
Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akiwa
 katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista
 Mhagama  (kushoto) na Naibu Mawaziri, Dkt. Abdallah Possi (Wapili 
kulia) na Anthony Mavunde (kulia) baada ya Waziri huyo na Manaibu wake 
 kuripoti Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi 
Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, 
Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony Mavunde (kushoto) 
wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waliojitokeza 
kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini  kwa Waziri Mkuu 
jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya
 Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri 
Mkuu, Jenista Mhagama akipokea maua kutoka kwa mtumishi wa ofisi ya 
Waziri Mkuu, Numpe mwadumbya (kushoto) baada ya kuwasili ofisini kwa 
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na
 Ofisi ya 
Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Jenista Mhagama (wapili kushoto)  akishuhudia wakati Naibu Waziri 
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde (wapili kulia ) na  Dkt. 
Abdallah Possi(kulia) wakipokea maua kutoka kwa Mtumishi wa Ofisi ya 
Waziri Tina Ambros (kushoto) baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Waziri 
Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na 
Ofisiya Waziri Mkuu)
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, 
Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony Mavunde (kushoto) 
wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waliojitokeza 
kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini  kwa Waziri Mkuu 
jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya
 Waziri Mkuu)
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, 
Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony Mavunde (kushoto) 
wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waliojitokeza 
kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini  kwa Waziri Mkuu 
jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya
 Waziri Mkuu)
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Mawaziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, 
Abdallah Possi na (wapili kushoto) na Anthony Mavunde (kushoto) 
wakisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waliojitokeza 
kuwapokea na kuwakaribisha wakati walipoingia Ofisini  kwa Waziri Mkuu 
jijini Dar es salaam kuanza kazi , Desemba  14, 2015. (Picha na Ofisi ya
 Waziri Mkuu)
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri 
Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu 
jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015 baada ya kuwasili ofisini kuanza 
kazi . Kushoto ni Naibu Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. 
Abdallah Possi na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, 
Anthony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
 akiteta na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florence Turuka 
(kabla ya kuwapokea Waziri na Naibu Mawaziri, Ofisini kwake jijini Dar 
es salaam, Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa 
akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya 
Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar
 es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa 
akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi
 ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde  wakati aliporipoti Ofisini kwake 
jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni Waziri wa
 Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa Mhagama .(Picha na Ofisi ya Waziri 
Mkuu)
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa 
akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi
 ya Waziri Mkuu, Dkt Abdallah Possi   wakati aliporipoti Ofisini kwake 
jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Wapili kushoto  ni 
Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa Mhagama  na kulia ni Naibu 
Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde
 
0 comments:
Post a Comment