Mwenyekiti
 wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akikata utepe 
kuashiria uzinduzi wa ofisi mpya kwenye ghorofa ya pili ya jengo la 
benki hiyo lililopo jengo la Makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es 
Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays 
Tanzania, Kihara Maina akiwa na baadhi ya wadau wa benki hiyo wakati wa 
kuzindua ofisi ya benki hiyo ghorofa ya pili ya benki hiyo.
Mwenyekiti
 wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau  akifungua 
kitambaa kuashiria uzinduzi wa ofisi ya benki hiyo  katika jengo la 
benki ya Barclays ghorofa ya pili leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akishuhudia wakati akifungua kitambaa hicho.
Mkurugenzi
 mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akizungumza 
na wafanyakazi wa benki ya Barclays hapa nchini (hawapo pichani) leo 
jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Barclays hapa nchini wakimsikiliza Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina.
Baadhi ya wanabodi ya benki ya Barclays wakimsikiliza Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina mara baada ya kuzindua ofisi mpya leo jijini Dar es Salaam. 
 
 
 
 
 
 







 
 
0 comments:
Post a Comment