Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akimkaribisha ofisini kwake
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bi. Zuhura Hanif leo jijini
Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akielezea jambo wakati wa
mazungumzo baina yake na uongozi wa Star Times waliomtembelea ofisini kwake leo
jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes
Tanzania Bw. LEO Liofang na Makamu wa Rais wa StarTimes Africa Bw. Eric Xue
Makamu wa Rais wa StarTimes Africa Bw.
Eric Xue afafanua jambo wakati wa mazungumzo baina ya wawakilishi wa StarTimes na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (kulia) leo jijini Dar
es Salaam.Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. LEO Liofang.
Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes
Tanzania Bw. LEO Liofang akielezea
jambo wakati wa mazungumzo baina ya wawakilishi wa StarTimes na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel leo
jijini Dar es Salaam.Katikati ni Makamu wa Rais wa StarTimes Africa Bw. Eric
Xue
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea zawadi ya Kadi ya
Krismasi aliyokabidhiwa kwa niaba ya uongozi wa StarTimes Tanzania na Afisa
Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. LEO Liofang. Katikati ni Makamu wa Rais
wa StarTimes Africa Bw. Eric Xue
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akishukuru mara baada ya kupokea
zawadi ya Kadi ya Krismasi aliyokabidhiwa kwa niaba ya uongozi wa StarTimes
Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. LEO Liofang (kushoto).
Katikati ni Makamu wa Rais wa StarTimes Africa Bw. Eric Xue
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel(mwenye tai) akitoa neno la
shukrani kwa uongozi wa StarTimes kwa kumtembelea ofisini kwake na kuipongeza
Serikali kwa ushirikiano inaowapa katika kutekeleza wajibu wao kama wabia wa
habari hapa nchini.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Bw.
Assah Mwambene,Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. LEO Liofang,Makamu
wa Rais wa StarTimes Africa Bw. Eric Xue na Makamu wa Rais wa StarTimes
Tanzania Bi. Zuhura Hanif
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel(katikati)akiwa katika picha ya
pamoja na wawakilishi wa StarTimes Tanzania walipomtembelea ofisini kwake leo
jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO
Bw. Assah Mwambene, Makamu wa Rais wa
StarTimes Africa Bw. Eric Xue, Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw.
LEO Liofang na Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania Bi. Zuhura Hanif
0 comments:
Post a Comment