Meneja
 wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita 
(kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya 
tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni 
hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 20 
huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya 
kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO 
Tanzania, Caroline Kakwezi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment