SHIRIKISHO
la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa kushirikiana na Chama cha Soka Mkoa
wa Mbeya (MREFA) wameandaa kozi ya makocha wa mpira wa miguu Leseni C,
itakayofanyika jijini Mbeya kuanzia Disemba 21- 04 Januari, 2016.
Jumla
ya makocha 46 kutoka katika kanda ya Nyanda za Juu Kusini wanatazamiwa
kushiriki kozi hiyo ya wiki mbili, ambayo itaendeshwa na wakufunzi Kidao
Wilfred na Salum Madadi.
Washiriki
wa kozi hiyo ni Mussa Kasalika, Steven Viera, Golya, Mlekwa, Matokeo
Sigalla, Ernest Nkandi, Felix A. Sosteness, Michael Mwamaja, Daniel
Mwaisabila, Deus Nsheka, Albert Gama, Joseph Abiero, Simon Mwapili,
Bahati Mwaipopo, Willy Ngailo, Charles Makwaza, Paul Msyahila, Osward
Morris, Jacob Ndago, Castor Mahona, Ambilikile Albion, Jumanne Nsunye,
Gowdin Mulenga.
Wengine
ni Abel Shizya, Matatizo Abdallah, Michael Kasekenya, Thomas Kasombwe,
James Wanyato, Rose Njobelo, Amos Chiwaya, Baraka Kibanga, Mohamed
Dondo, Josephat Digna, Shabani Mwaibara, Lucas Kibaja, Yusuph Mlekwa,
Joel Makitta, Josiah Steven, Rashid Kasiga, Charles Njango, Alex
Lusekelo, Shabani Kazumba, Ismail Suleiman, Ibrahim Kasegese, Simon
Bernard, Anthony Mwamlima, Christian Simkoko.
0 comments:
Post a Comment