Meneja
 uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando pamoja na Meneja Masoko wa Airtel 
Bi Anethy Muga kwa pamoja wakizindua promosheni mpya ya “Airtel 
MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia
 mamilioni ya pesa taslimu kila siku.
Meneja
 Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari wakati 
wa uzinduzi wa promosheni mpya ijulikanayo kama “Airtel MKWANJIKA” 
itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni 
ya pesa taslimu kila siku.
Meneja
 Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akielezea jinsi promosheni ya 
Airtel Mkwanjuka itakavyoendeshwa wakati uzinduzi wa promosheni hiyo 
itakayowawezesha wateja wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni ya 
pesa hadi shilingi milioni 300.
 
 
 
 
 
 

 
 
0 comments:
Post a Comment