BANK YA MKOMBOZI YAFUNGUA TAWI JIPYA MJINI BUKOBA.
Mhashamu
Baba Askofu Desiderius Rwoma wa Jimbo Katoliki Bukoba leo wakati wa
Ufunguzi wa Tawi Jipya la Benki ya Mkombozi, Ndiye aliyelifungua Rasmi. Mheshimiwa
Mama Edwina Lupembe, Mkurugenzi wa “Mkombozi Commercial Bank" akiteta
jambo kwa furaha na Mhashamu Baba Askofu Desiderius Rwoma wa Jimbo
Katoliki Bukoba leo wakati wa Ufunguzi wa Tawi Jipya la Benki ya
Mkombozi. Taswira nje ya Jengo hilo la Benki hiyo! Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani iliyofunguliwa rasmi leo hii Pongezi
kwa Mama Mama Edwina Lupembe, Mkurugenzi wa “Mkombozi Commercial Bank"
kwa Kusogezea Wakaazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji Vyake Bank hiyo. Mbunge
wa Bukoba Mjini(Chadema) Bw. Wilfred Lwakatare akisalimiana na Mama
Mama Edwina Lupembe, Mkurugenzi wa “Mkombozi Commercial Bank" leo Mjini
Bukoba. Bw.
Wilfred Lwakatare Mbunge wa Bukoba Mjini(Chadema) akitoa Neno wakati wa
Afra hiyo ya Ufunguzi wa Tawi Jipya la Mkombozi Benki.Picha za Pamoja
0 comments:
Post a Comment