Mkuu
wa mkoa wa Dodoma, Mh. Chiku Gallawa akisalimia na wachezaji wa timu ya
Zanzibar Univestity wakati wa ufunguzi wa mashindano ya shirikirisho la
vyuo vikuu Tanzania (TUSA) yatakayojumuisha michezo mbalimbali ambayo
yanafanyika Katika chuo kikuu cha Dodoma.
Mkuu
wa mkoa wa Dodoma, Mh. Chiku Gallawa akizungumza wakati akifungua
mashindano ya shirikirisho la vyuo vikuu Tanzania (TUSA)
yatakayojumuisha michezo mbalimbali ambayo yanafanyika Katika chuo kikuu
cha Dodoma.
washiriki
mbalimbali wa mashindano ya shirikirisho la vyuo vikuu Tanzania (TUSA)
yatakayojumuisha michezo mbalimbali ambayo yanafanyika Katika chuo kikuu
cha Dodoma.
0 comments:
Post a Comment