: Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati)
akizungumza na viongozi wa mashirikisho ya sanaa wakati wa kikao cha
kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Sanaa Bibi. Leah Kihimbi na
kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo
Rais wa Shirikisho la Sanaa za
Maonyesho Bibi. Agnes Lukanga (wapili kulia) akichangia mada wakati wa
kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Shirikisho la Filamu Bw.
Simon Mwakifamba (wapili kushoto) akifafanua jambo wakati wa kikao
kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni msemaji wa Shirikisho la Filamu Bw. John Kallage.
Baadhi ya viongozi wa mashirikisho
ya sanaa wakifuatilia kwa makini mada zilizokua zikiendelea wakati wa
kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
kuchanganua changamoto zilizopo katika tasnia ya sanaa jana Jijini Dar
es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (watatu kulia
waliokaa) katika picha ya pamoja na viongozi wa mashirikisho ya sanaa
baada ya kumaliza kikao cha kuchanganua changamoto zilizopo katika
tasnia ya sanaa jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi Sanaa Bibi. Leah Kihimbi, wapili kushoto ni Katibu Mtendaji
Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo na watatu kushoto ni Rais wa Shirikisho
la Filamu Bw. Simon Mwakifamba.Picha na: Genofeva Matemu – Maelezo
0 comments:
Post a Comment