Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa 
Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za 
Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk. 
Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.
Naibu Waziri   Ofisi ya Makamu wa 
Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za 
Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele . 
Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa 
Rais akiwa Bwana Sazi Salula akiwa katika picha ya pamoja na  Waziri wa 
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba 
na Waziri aliyemaliza muda wake Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya 
makabidhiano ya Ofisi.
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment