Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) (kulia) akiwa katika
mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan yaliyofanyika
katika Ofisi ya Wizara hiyo leo.
Walioshuhudia mazungumzo hayo kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa
Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi
Mbelwa Kairuki, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi, Mindi
Kasiga na Katibu wa Waziri, Bw. Thobias Makoba.
Maofisa kutoka Serikali ya Japan.
0 comments:
Post a Comment